Uongozi na Utawala wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Miaka 25 ya Utumishi Wangu kwa Umma Chini ya Uongozi wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
- Dar es Salaam Nyambari Nyangwine Publishers 2012
- xiv,156p.
Hiki ni kitabu cha kihistoria kihachoelezea juu ya Uongozi na Utawala wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kikihusisha miaka 25 ya Utumishi wa Umma wa Ndugu Pius Msekwa ambaye amelelewa kiuongozi na mwalimu Nyerere toka enzi za ujana akiwa shuleni hadi utu uzima. Ni kitabu kinachofaa sana kuielezea historia ya Tanzania.