Nyerere, Julius K.

Binadamu Na Maendeleo - London Oxford University Press 1974 - vii,122p.

Kitabu hiki kidogo kimekusanya hotuba na maandishi machache ya Rais Nyerere yenya lengo la kusaidia kuongeza fikira za kisuasa katika Tanzania na mahali pengine. Kila moja ya hotuba hizo ziliochaguliwa inaeleza kitu fulani katika maisha ya mwanadamu: haki zake na wajibu wake katika nchi yake. Kati ya hotuba hizo mna zinazohusu kanisa na maisha ya watu, wajibu wa chama cha siasa, sababu ya kuchagua ujamaa katika Afrika, na nyingine zinazotilia mkazo usawa na heshima ya binadamu

0195723252


Maendeleo, Binadamu