TY - BOOK AU - Nyerere, Julius K. TI - Binadamu Na Maendeleo SN - 0195723252 PY - 1974/// CY - London PB - Oxford University Press KW - Maendeleo, Binadamu N2 - Kitabu hiki kidogo kimekusanya hotuba na maandishi machache ya Rais Nyerere yenya lengo la kusaidia kuongeza fikira za kisuasa katika Tanzania na mahali pengine. Kila moja ya hotuba hizo ziliochaguliwa inaeleza kitu fulani katika maisha ya mwanadamu: haki zake na wajibu wake katika nchi yake. Kati ya hotuba hizo mna zinazohusu kanisa na maisha ya watu, wajibu wa chama cha siasa, sababu ya kuchagua ujamaa katika Afrika, na nyingine zinazotilia mkazo usawa na heshima ya binadamu ER -