Nyerere

Tumetoka Wapi, Tuko Wapi, Tunakwenda Wapi - Dar es Salaam Taasisi ya Mwalimu Nyerere 1995 - 35p.

Hotuba ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius K. Nyererere katika Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani, Mei, 1995 Mjini Mbeya. Baba wa Taifa alieleza historia ya vyama vya wa wafanyakazi duniani. Pia aliwaomba wananchi kutumia haki yao ya kupiga au kupigiwa kura kwa kupitia za wagombea nafasi za Uongozi kwa Kujiuliza wataifanyia nini nchi yao

967NYE