Image from Google Jackets

Kazi za Taasisi ya Mwalimu Nyerere

By: Material type: TextTextPublication details: Dar es Salaam Taasisi ya Mwalimu Nyerere 2001Description: 33PISBN:
  • 998768680-x
Subject(s): Summary: Mwalimu Julius K. Nyerere alitumia nafasi ya uzinduzi rasmi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere aliopozungumza na Wabunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dodoma tarehe 3 Agosti,1996 kutoa maelezo na ufafanuzi wa msingi kuhusu chombo hiki kipya kilichanzishwa kupewa jina lake. Mbali na kueleza sababu zilizosababisha uamuzi wa kukipa chombo hicho jina hilo, alieleza pia chimbuko la uamuzi wenyewe, madhumuni yake pamoja na upeo wa kazi zake. Yote yanajitokeza dhahiri katika utangulizi na katika majibu ya maswali aliyoulizwa na Waheshimiwa Wabunge.
Tags from this library: No tags from this library for this title. Log in to add tags.
Star ratings
    Average rating: 0.0 (0 votes)
Holdings
Item type Current library Status Barcode
Book Book UONGOZI Institute Resources Centre - Dar es Salaam Available 000079

Mwalimu Julius K. Nyerere alitumia nafasi ya uzinduzi rasmi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere aliopozungumza na Wabunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dodoma tarehe 3 Agosti,1996 kutoa maelezo na ufafanuzi wa msingi kuhusu chombo hiki kipya kilichanzishwa kupewa jina lake. Mbali na kueleza sababu zilizosababisha uamuzi wa kukipa chombo hicho jina hilo, alieleza pia chimbuko la uamuzi wenyewe, madhumuni yake pamoja na upeo wa kazi zake. Yote yanajitokeza dhahiri katika utangulizi na katika majibu ya maswali aliyoulizwa na Waheshimiwa Wabunge.

There are no comments on this title.

to post a comment.
Share